RecipesProductsProfessionalsBlogsAbout UsContact Us

Home / RecipesMapishi / Chai ya Tangawizi na Asali (Ginger and Honey Tea)Chai ya Tangawizi na Asali

Chai ya Tangawizi na Asali (Ginger and Honey Tea)Chai ya Tangawizi na Asali

Spiced ginger tea sweetened with honey, a comforting drink for mornings and cool evenings.Chai ya tangawizi yenye viungo, iliyotiwa asali kwa utamu. Kinywaji cha kufariji asubuhi na jioni baridi.

Ready in Tayari baada ya 15 minServes 2Serves 2
Chai ya Tangawizi na Asali (Ginger and Honey Tea)

IngredientsViungo

  • 2 cups water
  • 1 thumb fresh ginger, sliced
  • 2 cloves
  • 1 cinnamon stick
  • 1 cup milk (optional)
  • 2 tbsp Chamamba honey
  • Vikombe 2 vya maji
  • Kipande 1 cha tangawizi mbichi, kilichokatwa
  • Karafuu 2
  • Kipande 1 cha mdalasini
  • Kikombe 1 cha maziwa (si lazima)
  • Vijiko 2 vya asali ya Chamamba

MethodMaelekezo

  1. Simmer the water with ginger, cloves and cinnamon for 10 minutes.
  2. Add milk if using and bring back just to the boil.
  3. Strain into cups.
  4. Stir in honey while the tea is warm, not boiling, to keep its flavour.
  1. Chemsha maji na tangawizi, karafuu na mdalasini kwa dakika 10.
  2. Weka maziwa kama unatumia na chemsha kidogo tu.
  3. Chuja na mimina kwenye vikombe.
  4. Tia asali chai ikiwa ya uvuguvugu, si ikiwa inachemka, ili ladha yake ibaki.
Tip: Kidokezo: Add honey once the tea has cooled slightly. Boiling it dulls the taste.Tia asali baada ya chai kupoa kidogo. Kuichemsha huharibu ladha yake.