IngredientsViungo
- 3 very ripe bananas, mashed
- 1/3 cup Chamamba honey
- 1/3 cup Chamamba sunflower oil
- 1 egg
- 1 tsp vanilla
- 1 1/2 cups flour
- 1 tsp baking soda
- 1/2 tsp cinnamon
- Ndizi mbivu sana 3, zilizopondwa
- Theluthi 1 ya kikombe cha asali ya Chamamba
- Theluthi 1 ya kikombe cha mafuta ya alizeti ya Chamamba
- Yai 1
- 1 tsp vanilla
- Vikombe 1 1/2 vya unga
- 1 tsp baking soda
- 1/2 tsp mdalasini
MethodMaelekezo
- Preheat the oven to 180 C and grease a loaf tin.
- Whisk the mashed bananas, honey, oil, egg and vanilla together.
- Fold in the flour, baking soda and cinnamon until just combined.
- Pour into the tin and bake 50 to 55 minutes until a skewer comes out clean. Cool before slicing.
- Washa oveni nyuzi 180 C na upake treya ya mkate mafuta.
- Koroga ndizi zilizopondwa, asali, mafuta, yai na vanilla pamoja.
- Changanya unga, baking soda na mdalasini hadi viunganike tu.
- Mimina kwenye treya na oka dakika 50 hadi 55 hadi kijiti kitoke kikiwa safi. Acha upoe kabla ya kukata.
Tip: Kidokezo: The darker the bananas, the sweeter and moister the loaf.Ndizi zikiwa nyeusi zaidi, mkate utakuwa mtamu na laini zaidi.


